Balozi wa Tanzania nchini DRC, Mhe. Said Mshana alitembelea Makao Makuu ya Benki ya CRDB na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Abdulmajid Nsekela.