Mhe. Balozi wa Tanzania Nchini DRC Luteni. Jen. Paul Mella awasili Mkoani Kigoma kwa usafiri wa Boti. Ameambatana na Mawaziri wa Biashara, Uwekezaji na Viwanda kutoka Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.